Wednesday, August 06, 2014

BREAKING NEWS: ABIRIA WASUKUMA TRENI KUMUOKA MTU ALIYEBANWA (VIDEO)


Wasafiri na wafanyakazi wa kampuni ya reli ya Transperth waliungana kwa pamoja ili kumnasua mtu (PICHANI JUU) aliyekwama katikati ya treni na platfom kwa kuinua behewa leo asubuhi.

Mtu huyo aliyekuwa anawahi kupanda treni ya kasi katika kituo cha Stirling, kilometa 9 kaskazinimagharibi mwa mji wa Perth, Australia Magharibi saa 08.50 aliteleza na mguu wa kushoto kunasa katika nafasi katikati ya behewa na platform.

Abiria na wafanyakazi wa kampuni ya treni walifikiria haraka na kuokoa mguu wa mtu huyo uliokuwa umebanwa na treni yenye uzito wa tani 10,000, kwa kushirikiana kusukuma behewa hilo.

BOFYA CHINI UANGALIE LIVE VIDEO 







No comments:

Post a Comment