Wednesday, July 23, 2014

NEWS ALERT: MTOTO ALIYEPOTEA KWA KUTEKWA AMEPATIKANA KWA MWIZI


Habari zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa mtoto Merlyin(aliyebebwa na mama yake) aliye potea kwa kutekwa amepatikana, mtoto huyo alikutwa kwa mwizi (pichani kushoto) katika enero la Tandale, imedaiwa kuwa mtoto huyo alikutwa salama salmini kwa aliyekuwa mfanyakazi wa bustani (shambaBoy) na kudaiwa ndiye aliyemuiba. kwasasa Shambaboy huyo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

Merlyin alipotea july 16, 2014 ikiwa ni takribani sikh wiki moja na nusu katika mazingira yenye utata, mtoto huyo alidanganywa kupelekwa dukani na hatimaye watu walimwona mtu asiyefahamika akipanda bodaboda na mtotot huyo na kisha kutokomea naye kusikojulikana.


No comments:

Post a Comment