Monday, May 05, 2014

NI RASMI: KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST NI MKE NA MUME, NDOA IMEFUNGWA

Kanye West na Kim Kardashian kuanzia sasa ni mke na mume rasmi. Wapenzi hao wawili ilibidi wahalalishe muungano wao rasmi kwa bomani kabla ya kuondoka kuelekea Paris nchini Ufaransa kwaajili ya harusi yao ya kifahari.

Harusi hiyo inayotarajiwa kusherekewa tarehe 24 mwezi huu itahudhuriwa na watu mashuhuri na kwamba itakuwa ni ya gharama kubwa na imekuwa ikiongelewa sana mpaka sasa.

Kwa mujibu wa gazeti la Life&Style, limekaririwa likiwapongeza Bwana na Bibi West na kuandika kuwa ‘umesikia hapa kwanza’ likimaanisha kuwa wao ndio wa kwanza kuandika taarifa hiyo.

Mnamo tarehe 28/04, mtu wa ndani alitoa taarifa kwenye mtandao wa HollywoodLife.com kuhusiana na ndoa ya Kim na Kanye itakayofungwa Marekani na kusema “ Wanaelekea Paris wiki chache zijazo, hiyvo watapata leseni zao kwanza”

Chanzo hicho kilieleza kuwa wapenzi hao wanampango wa kuhalalisha kisheria LA kabla ya kusherehekea ndoa yao Paris, na kwamba Kim na Kanye funga rasmi ndo yao kwa mara ya kwanza kama ilivyopangwa.
Harusi hiyo inayotarajiwa kusherekewa tarehe 24 mwezi huu itahudhuriwa na watu mashuhuri na kwamba itakuwa ni ya gharama kubwa na imekuwa ikiongelewa sana mpaka sasa. Kwa mujibu wa gazeti la Life&Style, limekaririwa likiwapongeza Bwana na Bibi West na kuandika kuwa ‘umesikia hapa kwanza’ likimaanisha kuwa wao ndio wa kwanza kuandika taarifa hiyo.

Mnamo tarehe 28/04, mtu wa ndani alitoa taarifa kwenye mtandao wa HollywoodLife.com kuhusiana na ndoa ya Kim na Kanye itakayofungwa Marekani na kusema “ Wanaelekea Paris wiki chache zijazo, hiyvo watapata leseni zao kwanza”

Chanzo hicho kilieleza kuwa wapenzi hao wanampango wa kuhalalisha kisheria LA kabla ya kusherehekea ndoa yao Paris, na kwamba Kim na Kanye funga rasmi ndo yao kwa mara ya kwanza kama ilivyopangwa.

No comments:

Post a Comment