Gari la abiria aina ya Eicher lenye usajili T891CRC baada ya kulipandia gari dogo aina ya Toyota Carina yenye usajili T879ARN katika makutano ya Maktaba katika mataa ya kuongozea magari mapema leo alfajiri kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyeumizwa
No comments:
Post a Comment