Hii picha ilipigwa nyuma ya jukwaa juzi ambapo inamwonesha Rhanna akiwa ameshikwa makatlio na mwanamke aliyesimama upande wake wa kushoto. Picha hii ilipigwa katika usiku wa ubunifu wa mavazi unaofanyika kila mwaka nchini Marekani.
Dada huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa wazi alimshika Rihanna makalio huku mwenzie alieko upande wa kulia mwa Rih akimshika mkono. Kweli duniani kuna mambo.TAFADHALI SHUKA CHINI UANDIKE MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment