Wednesday, May 07, 2014

HUYU RIHANNA NI KICHAA, INSTAGRAM YAFUNGA AKAUNTI YAKE KWA UCHAFUSiku chache baada ya kuondoa picha yake ya gazeti la Lui Magazine, mtandao wa Instagram ulifuta na kufunga akaunti ya Rihanna, katika akaunti hiyo Rihanna alikuwa na wafuasi milioni 12.8 (shuka chini uone akaunti yake) wanaomfuatilia jambo ambalo lilimfanya kuwa ni mtu watatu duniani anafuatiliwa sana katika mtandao huo.

Kim Kardashian ambaye anafuatiliwa na watu milioni 14 ndie wapili huku akimfuata Justin Bieber anayeongoza kwa kuwa na wafuasi milioni 15.7. Siku ambayo picha za Rihanna zilipoondolewa katika mtandao, aliweka picha nyingine inayoonekana hapo kushoto.

Hata hivyo akaunti hiyo ilifunguliwa baada ya mashabiki wa Rihanna kulipuka kwa hasirika.


No comments:

Post a Comment