Wednesday, May 07, 2014

WAKAZI MTAA HUU WANAHITAJI MSAADA HARAKA, MAANA WANAISHI BWAWANI

Pikipiki zikiwa katika maji katika eneo la Kinondoni B, nyuma ya kituo cha basi, kama zinvooynekana pichani juu, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. mtaa huo umekuwa bwawa kutokana na kujaa maji na kusabisha biashar kufungwa, wakazi kushindwa hata kutoka na kuingia ndani ya makazi yao kwa uhuru.

Maji hayo hayana pamkwenda na kusababisha kutoa harufu mbaya kwani toka mvua hizo zianze maji yamekuwa yakiongezeka na kukosa mahali pa kwenda. Mamlaka husika zimetakiwa kuchukua hatua haraka ili kunusuru wakazi wa eneo hilo kupata magonjwa.









No comments:

Post a Comment