Mbagala huko daraja lilipokata
Mshkaji kamdondosha mteja kwenye maji, ndio kichapo kikaanzaPale Mayfair pale…sasa hivi mwenye boti ndio mshindi wa kila kitu
Hapa hata sijui niseme nini. . .! afadhali mkuu kasevu feni… huyu mwenye stuli sijui itakuwaje
Hapo ndio mgahawa maarufu wa KFC, utahitaji boti kuingia, maana hali ndio kama hivyo tena. . .
Mgeni njoo mwenyeji afaidi. . .vijana wamejipatia ajira ya muda, wanatamani mvua ziendelee...
Uswazi kwetu nako sijui tutalalaje leo maana duh. . .
Uwanja wa mpira wa kimataifa wa mabingwa wa ligi ya VPL, Yanga umepotea ukiuona utapewa zawadi
Mbezi beach kwa matajiri, kama unavyowaona . . .
Karibu na daraja la Mabibo, tuombe mvua isimame lasivyo zile nyumba pale zinaondoka. . .
STK 3316, ikiwa imezama, sijui ilikuwaje pale duh. . .
Hapa ni Mayfair, katikati ya TMJ na Shoppaz Plaza, maji si mchezo. . .
No comments:
Post a Comment