Thursday, April 24, 2014

FASHIONISTA: LUPITA AZIDI KUNG'ARA, ANGALIA MITINDO MIPYA HUMU

 Juu: Sura ya gazeti toleo jipya la People, Lupita Nyong'o ang'ara katika wanawake 50 warembo zaidi
Chini : Toleo jipya la stileto hill, la Roberto Cavalli



Juu: Kim Kardashian akiwa amevaa jeans iliyochanwa, atakuwa ametia fora kupita wasanii wengi
Chini: Kama unapenda kunukia, hizi ndio perfume mpya kutoka kwa Christian Dior

SHUKA CHINI UTOE MAONI YAKO TAFADHALI. . .

No comments:

Post a Comment