Treni ya abiria wa mjini huko Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa O'Hare, Chicago, Marekani jana ilipotea njia na kuingia katika ngazi za umeme. Kwa mujibu wa Polisi wa Chicago treni hiyo imejeruhi watu zaidi ya 30 pamoja na kwamba sio majeraha ya kutisha.
No comments:
Post a Comment