Saturday, March 29, 2014

MKUU WA MKOA ACHOMA NYAVU 300, ANGALIA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiteketeza nyavu zaidi ya 300 zilizokuwa zikitumika kwa uvuvi haramu katika Ziwa Nyasa ambazo zimekamatwa na idara ya usimamizi wa rasilimali za bahari hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment