Saturday, March 29, 2014

HAMANI USIAMINI HAWA NDIO WAZALISHAJI BORA TANZANIA, WAPEWA TUZO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana(ijumaa usiku)


No comments:

Post a Comment