Tuesday, March 25, 2014

HAWA NDIO VIONGOZI WA KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA ZILIZOUNDWA JANA

Dodoma,

Haya ndio matokeo ya uchaguzi wa Kamati zilizoundwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Samwel Sitta (pichani juu), jana asubuhi bungeni.

Kamati namba 1 
Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu 
Makamu wake ni Profesa Makame Mbalawa,

Kamati namba 2 
Mwenyekiti ni Shamsi Vuai Nahodha 
Makamu ni  Shamsha Mwangunga,

SOMA ZAIDI . . .


Kamati namba 3
Mwenyekiti ni Francis Michael 
Makamu wake ni Fatuma Mussa Juma,

Kamati namba 4 
Mwenyekiti ni Christopher Ole Sendeka 
Makamu wake ni Dkt,Sila Ugwa,

Kamati namba 5 
Mwenyekiti ni Hamad Rashid 
Makamu wake ni Assumter Mshama,

Kamati namba 6 
Mwenyekiti ni Stephen Wasira 
Makamu wake ni Maua Daftrari.


Kamati namba 7 
Mwenyekiti ni Generali Hassan Ngwilizi 
Makamu wake ni Waride Bakari Jabu,

Kamati namba 8 
Mwenyekiti ni  Job Ndugai 
Makamu wake ni Biugwa Yahya Othuman,

Kamati namba 9 
Mwenyekiti ni Kidawa Hamisi Salehe 
Makamu wake ni Wiliam Ngereja,

Kamati namba 10 
Mwenyekiti ni Anna Abdallah 
Makamu wake ni Salmin Awadh Salmin,

Kamati namba 11 
Mwenyekiti ni Anne Kilango Malecela 
Makamu wake ni Yusuph Masaluni,

Kamati namba 12 
Mwenyekiti ni Paul Kimiti 
Makamu wake ni Thauwayba Edinton Kisasi.


No comments:

Post a Comment