Monday, February 24, 2014

MATUKIO YA WIKI KATIKA PICHA, ANGALIA HAPA UJIONEE

 Mashindano ya Olympic msimu wa baridi yamefungwa rasmi jana, huko Urusi, ambapo Urusi ndio imeongoza kwa kuzoa medali nyingi. Hapa mshiriki kutoka Marekani nguo yake ikiwa imechanika wakati wanaanza mashindano.


 Rais wa Marekani Barack Obama akicheza na mbwa wake ndani ya Ikulu ya Marekani, White House

 Kweli michepuko sio Dili, baki njia kuu Bibi anapoanza kuwa na tabia za watoto, kumbe kweli ukizeeka unaanza kuwa mtoto!!

 Mchoro nilioupenda, hapa ni sanaa ya kwenye mchanga wa bahari kama inavyoonekana

 Hapa nafikiri picha inajieleza, sihitaji maelezo zaidi . . .

 Mheshimiwa kajitoa muhanga, liwalo na liwe…

Angalia jinsi nywele zinavyoweza kuwa mvuto, kina dada wakiwa wamepozi ...

No comments:

Post a Comment