Bi. Oluchi Merife (Pichani akiwa amembeba Jeremiah) kabla hajajifungua tarehe 13, mwezi desemba 2013, aliachwa na mumewe, Azuka Uchendu baada ya kushindwa kujifungua baada ya miaka miwili. Bi Merife tayari alikuwa na watoto wawili kabla mumewe hajaondoka kwa madai kuwa mkewe huyo alikuwa amevimba tumbo na sio ujauzito.
Mama huyo mkazi wa mto Oji, nchini Nigeria alidai kuwa mumewe alitafuta mwanamke mwingine alipoona hali imekuwa mbaya.
“Nilipata mimba mwaka 2010 na nikaanza kwenda kliniki, nilipofika mwezi wa 5 nikaambiwa tarehe ya kujifungua. Lakini mwezi uliofuata (6) nikaaza tena kwenda hedhi (periods), hospitali wakaniambia mtoto ameacha kukua…” alianze kueleza mama huyo
aliipelekwa kwenye kipimo cha ultra sound ambayo ilionesha hana mtoto. Mnamo 2012, baba mmoja alimpa hela na kumwambia aende kanisani na kwamba ntafunuliwa. akaenda kama nilivyoelekezwa lakini wapi hapakuwa na matokeo yoyote.
“Wakati huo mume wangu alishaondoka na kwenda kuishi na mwanamke mwingine. Niliendela kutafuta jawabu maeneo mbalimbali, ilinibidi hata nihame mahali tulikuwa tunaishi, kwend mji mwingine.
Wakati hospitali wanasema hakuna mtoto, nyumba ya maombi waliniambia nimebeba mtoto wa kiume, na kwamba jina lake ataitwa Jeremiah. Waliendelea kuniombea mwaka wote 2012.” Aliendelea Bi. Oluchi
Ilipofika 2013, mtumishi wa mungu mchungaji Faith alimwambia amebeba mtoto wa kiume na kwamba miaka 7 baada ya kujifungua mtoto huyo amkabidhi kwa mchungaji.
“Baada ya mkutano mkubwa wa injili 2013, nikaanza kusikia kitu tumboni, kama vile mtua anakata kitu tumboni. Baada ya hapo mchungaji anaeitwa Sunny kutoka Enugu akaniambia niende tena kufanya ultra sound na kwamba mungu ameondoa kilichokuwa kinamficha mtoto” alisema Bi Oluchi
“Kama alivyonishuhudia mchungaji, kipimo kilonesha nna ujauzito wa miezi 7. Aliongeza mama huyo.

Baada ya hapo niliendelea na maombi, na baadae kupewa tarehe ya kujifungua kuwa ni disemba 12, siku ilipita bila dalili zozote, ndipo siku iliyofuata nikaenda kumuomba mungu.” Alidai
“Nilimuomba mungu aoneshe maajabu yake, na nilimuomba mungu nisifanyiwe upasuaji, baada ya kutoka kwenye nyumba ya ibada siku iliyofuata nikaanza kusikia uchungu na jumapili saa tisa usiku nikajifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Jeremiah kama ilivyoshuhudiwa” alimaliza Bi. Oluchi
Mwanamke huyo anadai hakuwahi kumsikia tena mumewe au familia yao tokea ajifungue, na kwamba anaomba msaada kwa wasamaria wema kumsaidia yeye na mwanae mwingine wa kike kuwasaidia kwani hawana kipato chochote cha kuweza kuwasaidia.

No comments:
Post a Comment