Sunday, January 26, 2014

NDEGE ILIYOMBEBA WAZIRI ZANZIBAR YAANGUKA PEMBA





Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni ya jana ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama.


No comments:

Post a Comment