Tuesday, June 03, 2014

KUFURU: WACHINA KUJENGA MJI CHINI YA MAJI HIVI KARIBUNI


Wachina wameanza kupitiliza, Kampuni moja nchini China inampango wa kutimiza ndoto yake kuwa kweli. Kampuni hiyo ya ujenzi “China Communications” inashirikiana na kampuni ya ubunifu ya AT Design Office kujenga jiji chini ya maji (Pichani).

Yawezekana ikawa sio shida kwa watu watakaoishi katika mji huo, kutokana na woga lolote laweza kutokea wakati wowote. Itakuwa kazi ngumu sana kwa wabunifu na wahandisi kujenga jiji hilo, kwani kama likitokea tatizo dogo tu, basi kila kitu kina haribika.


Je wewe msomaji ungependa kuishi chini ya maji?

Tupia maoni yako hapa chini tafadhali…


No comments:

Post a Comment