Wednesday, January 22, 2014

DARAJA LAKATIKA: ABIRIA WAKWAMA ENEO LA DUMILA

Taarifa zilizotufikia toka eneo la tukio ni kwamba abiria na magari mengi yamekwama toka saa nne asubuhi kutokana na kukatika upande wa pili wa daraja.

Inasemekana kuwa daraja lilikatika toka saa kumi na mbili asubuhi, mpaka sasa hakuna gari yoyote ambayo inaweza kupita.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro alifika eneo la tukio, kujionea hali ilivyo.










No comments:

Post a Comment