Wednesday, January 22, 2014

KUKATIKA DARAJA: MAGARI YARUDI MOROGORO NA KUBADILI NJIA





Magari yaliyokuwa yanasafiri kwenda kanda ya ziwa yaliyokwama kupita kutokana na mafuriko yarudi Morogoro na kuzunguka Wilaya ya Kilosa, Mkata na Dumila.

Picha kulia ni abiria wakipata chakula kabla ya kuanza safari .







No comments:

Post a Comment