Friday, December 20, 2013

REMMY ALIPOTEMBELEA OFFICE YA MAJIRA LEO


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Remmy Williams(pichani Juu) akizungumza na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Majira, Imma Mbuguni leo alipotembelea ofisi za magazeti ya kampuni ya Business Times Limited. Remmy atakuwepo nchini kutengeneza muziki pamoja ni video akiwa sehemu mbalimbali.

Remmy Williams ambaye muziki wake na shughuli zake anafanyia nchini Italy amelalamikia maproducer wa muziki nchini kwa kutokua na uhakika na kuaminika. Msanii huyo alishindwa kuzuia hisia zake na kuwataja baadhi ya maproducer waliomsababishia kazi yake kupotea na wakati mwingine kumtapeli kiasi cha fedha zisizopungua shilingi za kitanzania zaidi ya shilingi 1,000,000




No comments:

Post a Comment