Monday, November 04, 2013

VAN VICKER AKANUSHA KUPATA AJARI


Msanii wa filamu nchini Nigeria Van Vicker amejitokeza na kukanusha kupata ajari jana akiwa njiani kuelekea kanisani huku ikidaiwa kuwa yupo katika hali mbaya.

Jana mchana baadhi ya mitandao mbalimbali ya kijamii ilionesha picha iliyomuonesha msanii huyo akiwa yupo katika hali mbaya ambayo pia ilikuwa imebeba ujumbe kuwa msanii huyo amepata ajari mbaya na yupo katika hali mbaya akiwa njiani kwenda kanisani.

Van Vicker amekanusha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook na kuda kuwa " There is a post on an imposter's page that I had an accident this morning on my way to church and I might die from bleeding. Its a rumor and a stunt to drive traffic to that page. I am well and in great health. JeHoV dey by my side. StayEeasy"


No comments:

Post a Comment