Wednesday, November 06, 2013

NSSF YAJIKITA KUTATUA TATIZO LA MAKAZI


Meneja Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Bi. Eunice Chiume akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mpango wa Shirika hilo kuendelea kutatua changamoto za makazi kwa wanachama wake,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa.

No comments:

Post a Comment