Saturday, June 08, 2013

KIBANDA AKUTANA NA WAHARIRI

 
Mhariri Mtendaji wa Majira, Imma Mbuguni(kulia) akimpa pole Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Limited, Absalom Kibanda aliyekuwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kupigwa na kuumizwa na watu wasiojulikana. Kibanda alirejea nchini jumatatu 3/06/2013,
Chini: Mhariri wa The African akisalimiana na Kibanda
 
  








Juu: Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Navile Meena akikumbatiana na Absalom Kibanda, Chini: Khamis Mzee kutoka Baraza la Habari Tanzania




  

No comments:

Post a Comment