Spika wa Bunge Anna Makinda ameharisha bunge ili kutoa nafasi kwa wabunge kutafakari vurugugu za mkoa wa Mtwara , ambapo jana kuliibuka vurugu zilizosababisha uharibifu wa mali na watu kujeruhiwa , mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhogo kuwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2013/14 pamoja na utekelezaji bajeti ya Wizara mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment