Friday, March 08, 2013

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI



Leo ni siku ya maadhimisho ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila mwaka yenye lengo la kupigania haki za wanawake na kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Uelewa wa Masuala ya jinsia katika jamii, ongeza kasi"

Siku hii huwa inaadhimishwa kwa namna ya kipekee kwa baadhi ya watu duniani kote, zifuatazo ni baadhi ya ujumbe mfupi uliotumwa na baadhi ya watu maarufu kwa ajili ya kutakiana heri ya siku ya wanawake duniani kote ikiwa ni sehemu mojawapo ya maadhimisho

KitaaOLojia@fidq : Peace, Love & respect to all women of this world.. #HappyWomensDay

Khadija Mwanamboka : Tupendane Tushikamane Tusitupane-Happy Women's Day

Masoud Kipanya : When AminaChifupa was going up politically i got lots of negative comments frm wanawake waliojihisi wao ni better zaidi yake @shyrosebhanji

Cpwaa Thesupreme : Dear Mom, my sisters,mashangazi, wachumba (Lol *),na all the women out there!! Happy Women's day. we are nothing without you!! #StayBlessed

Paul Kagame : Women have been indispensable to nation building in Rwanda & are critical to development & progress in Africa & worldwide. Happy #WomensDay

Jerry Silaa : Hakuna ambaye mkono wa mwanamke haujagusa maisha yake.
Mama, Dada, Shangazi, mwenza na sasa walimu,madaktari,wanasheria na viongozi mahiri zaidi. Nawathamini na kuwaheshimu sana.Happy women Day!.

David Ngaiga : Happy Women's Day, Natambua Mchango Wenu Kwenye Jamii Yetu Kama Wanawake, Mbarikiwe Sana! @shyrosebhanji @MariaSTsehai @AngaliaBongoTZ

Maria Sarungi Tsehai : nani kakwambia wanawake tu wanamaindiana wana donge? Hata wanaume .. nakuhakikishia .. stop stereotyping! @shyrosebhanji

Shy-Rose Bhanji : Thanks L! Happy Women's Day to all@lilianruga @esteramosbulaya @halimamdee @jshauri @mariastsehai @msalimu @subinukta @swahilimom

East Africa TV : East Africa Television tunapenda kuwatakia wanawake wote furaha na amani katika kusherehekea siku hii ya leo, #HappyWomen'sDay.


No comments:

Post a Comment