Friday, March 08, 2013

RIHANNA AWATAKIA HERI WANAWAKE WOTE DUNIANI



Muimbaji ambaye haishi vituko kila kukicha Rihanna amewatakia wanawake wote ulimwenguni kusherehekea siku yao kwa amani na utulivu kwa kupitia ujumbe wake alioutuma katika mtandao wa kijamii Twitter

No comments:

Post a Comment