Tuesday, March 19, 2013

NANCY SUMARI AZINDUA KITABU

Nancy Sumari (nyuma kulia)  sambamba na msanii wa muziki wa bongo fleva Shaa (kushoto) wakiwa wamesimama na baadhi ya watoto katika uzinduzi wa kitabu hiko (picha kwa hisanii ya freebongo)

Miss Tanzania 2005 ambaye pia aliwahi kuwa miss word Afrika Nancy Sumari amezindua kitabu chake kinachojulikana kwa jina la 'Nyota Yako' ni maalumu kwa ajili ya watoto

No comments:

Post a Comment