Tuesday, March 19, 2013

LIL WAYNE ATOKA ICU


Kutokana na afya yake kuonekana kuimarika rapa Lil Wayne ameruhusiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) baada ya kulazwa kwa siku 6 mfululizo katika hospitali ya Cedars Sinai iliyopo jijini Los Angeles

No comments:

Post a Comment