Wednesday, March 20, 2013

LIL WAYNE ATOKA HOSPITALI



Rapa Lil Wayne aruhusiwa kutoka hospitali baada ya afya yake kuimarika ambapo alikuwa amelazwa  katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) siku sita  katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center

Baadhi ya  vyanzo vya habari vimekanusha uvumi ambao uliokuwa umezagaa kuwa kulazwa kwake hospitalini  kumechangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya, ingawa ameonekana kuingia katika orodha ya wasanii kumi walioathirika na matumizi ya madawa hayo


No comments:

Post a Comment