Monday, February 25, 2013

WASHIRIKI WA MISS UTALII NDANI YA BAGAMOYO

Baadhi ya wanafunzi wa DSJ na miss Utalii wakinawa maji katika kisima kisicho kauka kilichopo Bagamoyo maeneo ya Ston Town katika safari yao ya kukuza na kutangaza utalii wa ndani iliyofanyika mwishoni mwa wiki

Washiriki wa miss Utalii wakijiandaa kuingia katika eneo la Ston Touwn kwa ajili ya kujifunza maswala mbalimbali yahusio utalii wa mahali hapo





YALIYOJILI UFUKWE WA BAGAMOYO

Wanafunzi wa chuo cha DSJ wakiwa katika pozi ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo walipotembelea maeneo hayo kwa ajili ya kujifunza na kutangaza utalii wa ndani


Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye pozi la pamoja ndani ya ufukwe wa bahari bagamoyo

Mwanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari akiwa katika pozi ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo


Waziri wa Fedha wa chuo cha uandishi wa Habari (DSJ) akiwa katika pozi  ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo

Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha DSJ wakiwa wanaogelea katika ufukwe wa bahari Bagamoyo baada ya kutembelea maeneo kadhaa kwa ajili ya kujifunza na kutangaza utalii wa ndani




DSJ WAKUZA UTALII


Wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari (DSJ)  (katikati) Johari Shani akifunikwa na mchanga kulia  Kateko  Salum, Joseph Mbongo ikiwa ni sehemu ya mchezo maeneo ya ufukwe wa bahari walipotembelea Bagamoyo kwa ajili ya kukuza utalii wa ndani 







Tuesday, February 12, 2013

ONYESHO LADY IN RED 2013






















YALIYOJILI KATIKA ONYESHO LA LADY IN RED





Mbunifu wa mavazi (kulia) ni Mustaafa Hassanal akiwa sambamba na mbunifu mwenzie Ailinda Sawe katika onyesho la mavazi la Lady in Red wabunifu hao walionyesha kazi yao usiku huo


Muandaaji wa onyesho la Lady in Red Asia Idarous (katika) akizungumza kabla ya  kukabidhi vyeti kwa wabunifu wa mavazi waliofanya vizuri katika onyesho hilo (kushoto) ni mbunifu wa mavazi Paka Wear na mume wa mratibu huyo Khamsini





Rose Anteloe akikabidhi cheti cha mbunifu chipukizi Lucky Peter ambapo alikabidhiwa usiku wa onyesho la Lady in Red 



Msanii wa bongo fleva Baby Madaha akicheza sambamba na wacheza shoo wake katika onyesho la mavazi la Lady in Red lililofanyika Serena jijini Dar es Salaam



Monday, February 04, 2013

ALICIA KEY APATA SHAVU ' BLACKBERRY'



Hatimaye Alicia Key amepata shavu la kuwa Mkurugenzi Mbunifu wa kampuni ya simu ya mkononi Blackberry

Wakati Alicia Key amepata shavu hilo, Blackberry teyari imetambulisha mfano wa bidhaa yake mpya ya simu baada ya uvumi wa muda mrefu

Wakati wakifanya utambulisho wa bidhaa hiyo, ndipo alipokuja na tangazo kubwa nyota huyo kama Mkurugenzi Mbunifu ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakubalika sokoni kwa urahisi


RIHANNA KIVAZI CHAKE CHAMTEGA MLINZI WAKE

 MUIMBAJI asiyeishiwa  vituko Rihanna ameonekana kumtega mlinzi wake kwa kivazi alichotinga kilichomuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake

Rihanna aliweza kugundua hilo na ndipo alipoamua kuanza kuishusha nguo yake 'gauni' lililokuwa linaonekana kupanda huku likiachia sehemu kubwa ya mwili wake

Rihanna ambaye ameanza kuizungumzia nyimbo yake ya 'Unapologetic', akiwa ameanza kufanya video shoot ameonekana akiwa amevaa gauni fupi jeusi



YALIYOJILI KATIKA BENDI YA MASHUJAA

Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa  wazee wa 'kibega' wakifanya shoo katika ukumbi wa  Business Park siku ya Ijumaa


Hii ndio safu ya mbele ya wanenguaji wa kike wa Mashujaa Bendi wazee wa 'kibega' inayoongozwa na Chalz Baba