Tuesday, February 12, 2013

YALIYOJILI KATIKA ONYESHO LA LADY IN RED





Mbunifu wa mavazi (kulia) ni Mustaafa Hassanal akiwa sambamba na mbunifu mwenzie Ailinda Sawe katika onyesho la mavazi la Lady in Red wabunifu hao walionyesha kazi yao usiku huo


Muandaaji wa onyesho la Lady in Red Asia Idarous (katika) akizungumza kabla ya  kukabidhi vyeti kwa wabunifu wa mavazi waliofanya vizuri katika onyesho hilo (kushoto) ni mbunifu wa mavazi Paka Wear na mume wa mratibu huyo Khamsini





Rose Anteloe akikabidhi cheti cha mbunifu chipukizi Lucky Peter ambapo alikabidhiwa usiku wa onyesho la Lady in Red 



Msanii wa bongo fleva Baby Madaha akicheza sambamba na wacheza shoo wake katika onyesho la mavazi la Lady in Red lililofanyika Serena jijini Dar es Salaam



No comments:

Post a Comment