| Wanafunzi wa chuo cha DSJ wakiwa katika pozi ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo walipotembelea maeneo hayo kwa ajili ya kujifunza na kutangaza utalii wa ndani |
| Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye pozi la pamoja ndani ya ufukwe wa bahari bagamoyo |
| Mwanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari akiwa katika pozi ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo |
| Waziri wa Fedha wa chuo cha uandishi wa Habari (DSJ) akiwa katika pozi ndani ya ufukwe wa bahari Bagamoyo |
| Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha DSJ wakiwa wanaogelea katika ufukwe wa bahari Bagamoyo baada ya kutembelea maeneo kadhaa kwa ajili ya kujifunza na kutangaza utalii wa ndani |
No comments:
Post a Comment