Kwa niaba ya Kampuni ya Business Times Limited, napenda kuwataarifu kwamba kikao cha kujadili hali na mwenendo mzima wa Mhariri mwenzetu Mnaku Mbani ndio kimekwisha na kuahidi kutoa taarifa maalum kwa vyombo vya habari ili kuelezea uhalisia wa tukio zima na nini kinaendelea kwa faida ya vyombo vyote vya habari pamoja na msimamo mzima wa Business Times Limited.
Tafadhali tunaomba uvumilivu wenu wakati tunaendelea kufuatilia taratibu zote.
Asanteni na poleni,
Imma Mbuguni
No comments:
Post a Comment