Tuesday, May 22, 2012
UREMBO NA MATUMIZI YA SCARF
Ni kawaida wasichana na wanawake ukwakuta na matumizi ya scarf, kwani ni moja ya nguo au kivazi kinachomfanya mwanamke aweze kuvutia na kupendeza.. Kuna njia tofauti za kufunga scarf hiyo kulingana na nguo uliyovaa na sehemu unayoenda na aina ya scarf.
Unaweza funga scarf kwa kulinganisha kipingili zilingane kwa njia moja kama tai. Vile vile unaweza kufunga katika nusu ya urefu, kisha kuiweka kwenye shingo yako ili mwisho moja iwe ndefu nyingine iwe fupi kufanya fundo huru Kufanya fundo huru mwishoni tena.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment