Mtindo wa nywele unaendana na aina ya kivazi kama nguo ina mtindo nyuma au hata kwenye mabega unashauriwa kubana nywele ili mtindo wa nyuma ya nguo yako ipate kuonekana.Na kama nguo yako haina mtindo nyuma iko kawaida pia unashauriwa kuziachia nywele zako ili kuongeza mvuto na urembo zaidi.
No comments:
Post a Comment