Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Lwamgasa,wilayani Geita wakivunja nyumba zao
jana ,kwa kile kilichoelezwa kupisha upanuzi wa barabara ikiwa ni agizo la
serikali ya kijiji hicho.Zaidi ya nyumba 100 zimevunjwa ambapo familia za watu
hao baadhi zinahifadhiwa kwa ndugu jamaa na marafiki na zingine kulala
nje.(picha na Faida Muyomba
No comments:
Post a Comment