Watoto Shabani Ramadhani (kulia) na Ibrahimu
Bassu (kushoto) wanaosoma darasa la kwanza katika shule ya msingi Ushirika
manispaa ya Shinyanga wakionesha kuwa na hamu kubwa ya elimu, hapa walinaswa na
kamera yetu wakiandika kitu ndani ya daftari bila kujali walikuwa barabarani.
(Picha na Hisani ya Majira)
No comments:
Post a Comment