Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini
alipowasili kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya kufungua
Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo, lililoanza leo Aprili 18, 2012.
Baadhi ya Viongozi wa Dini wakifuatilia kwa
makini Hotuba ya Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipofika kufungua rasmi Kongamano la Dini la
Waislam na Wakristo, lililoanza leo Aprili 18, 2012 kwenye Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Dini wakifuatilia kwa
makini Hotuba ya Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipofika kufungua rasmi Kongamano la Dini la
Waislam na Wakristo, lililoanza leo Aprili 18, 2012 kwenye Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi
Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo lililoanza leo Aprili 18, kwenye
Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Picha Zote kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment