Monday, March 05, 2012

Reggae Veterans in Action na Listerning Party ya Moyo Unadunda

We run 'tings. . . Baba T in action, Veterans in Action ilikuwa sio ya kuadithiwa. make sure you be there next time.

Nuff Respect to the man, Baba T akifanya mambo kwenye usiku maalum wa reggae ujulikanao kama Veterans in Action, uliofanyika siku ya jumamosi pale Mbalamwezi, Mikocheni. 
MOYO UNADUNDA: Jhikoma akichagua tracks kwaajili ya listerning ya albam yake mpya ambayo itaingia sokoni siku chache zijazo, pembeni ni Muzee wa kazi Gota Ire in action kwenye usiku wa Ma-Veteran. Pamoja  
BACK STAGE- Aliko, June na wadau winging wa Reggae wakiwa on the back stage. Peace and Love
 
MOYO UNADUNDA COMMING SOON - Veterans in Action, kutoka kushoto Jhikoman, Aliko, Gota Ire, Mfaume, hapa ilikuwa ni listerning ya ablamu mpya ya Jhiko Manyika ijulikanayo kama 'Moyo Unadunda'


No comments:

Post a Comment