Thursday, March 29, 2012

Kituo Cha Daladala

Kituo cha daladala cha Ilala Mchikichini kikiwa kimeinama huku eneo hilo limezingirwa na maji kama linavyoonekana huku watumiaji wakikizunguka kutafuta namna ya kujihifadhi wakiwa wanasubiri usafiri leo.

No comments:

Post a Comment