Huu ni Ukatili wa Kinyama
Mtuhumiwa
wa wizi wa simu ya mkononi Bw. Dulla Abdallah, akiwa ameuwawa na
wananchi wenye hasira kali juzi kisha kufunikwa na tofali na tairi kama anavyoonekana, karibu na ofisi za CCM kata ya
Kiwalani eneo la Minazi Mirefu jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment