Mafuriko yakiwa yameukumba Uwanja wa Yanga wa Kaunda uliopo katika Mtaa wa Twiga na Jangwani, Dar es Salaam jana, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha sehemu mbalimbali. Sehemu ya kuchezea mpira ilijaa maji na kusababisha ukuta wa uwanja huo kuvunjika. (Picha na Zuberi Mussa)
|
No comments:
Post a Comment