| Property Manager wa PPF Arusha akifafanua jambo mbele ya kundi la Wahariri walipotembelea miradi mbalimbali ya Taasisi hiyo katika jiji la Arusha. |
| Kundi la Wahariri wa vyombo vya habari nchini wakiwa katika moja mradi wa PPF walipotembelea mjini Arusha |
| Mmiliki na Mhariri wa Sports FM, Abdallah Majura akipenye kwenye njia iliyofungwa huku Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation, Deodatus Balile akimtania katika ziara hiyo |
| Daniel Chogolo akigawa tiket za kusafiria kwa wahariri baada ya kuhitimisha ziara ya PPF Arusha |
No comments:
Post a Comment