![]() |
| Mtaji wa maskini huo. . . jijini Arusha ni kama amebeba mzigo wa mkokoteni kwenye baskeli vile |
![]() |
| Mswaki asilia. . . wengine wanaida mdaa ndio vijiti hivyo hutumika toka miaka mingi kusugua meno na hatimae siku hizi tunasema kupiga mswaki |
![]() |
| Safari ya Loliondo imekwmia hapa, katika kituo cha daladala jijini Arusha, jamaa akiwa hoi anasubiri usafiri |




No comments:
Post a Comment