Yule mkali na roho ya magaidi wa Al Qaeda, wanaotishia dunia ambao pia ndio waliolipua majengo Sept. 11, 2000 ambapo majengo mawili makubwa ya marekani yalishuka jijini New York na huyo huyo alie shusha balozi mbili za wamarekani huko DSM na Nairobi in Aug.9 mwaka 98, ameuwawa.
| Osama Bin Laden enzi za uhai wake |
Pamoja na kifo chake raisi obama amethibitisha asubui hii kuwa wanao mwili wa Osama Bin Laden.
Raisi wa Marekani amesikika asubui hii akiwapongeza majeshi na vikosi vya ugaidi vya marekani ambavyo vimefanya kazi kwa zaidi ya miaka kumi kumtafuta Osama na hatimae kufanikiwa.
Taarifa zaidi zitaendelea kuripotiwa hapa…
No comments:
Post a Comment