| Maisha ya kijijini hayo, njiani Dodoma, hapa ndio kitu cha kijiji cha kusaga nafaka |
| Huu ndio usafiri wa karibu kila kitu vijijini, haya ndio maisha yasiyo na complication au maisha bora 2011 |
| Kina mama sijui lini watajikomboa, haya wakina mama mijini wasaidieni kina mama vijijini, hawa wanakatiza kuelekea mjini toka Dodoma vijijini, sijui wamesafiri muda gani |
| Makao makuu ya Taifa yaani nchi ya Tanzania kama inavyoonekana Dodoma leo |
| Hawa jamaa wamechoka kunyonga baskeli sasa wameona wadandie usafiri kuelekea gulioni, nje kidunchu ya Dodoma |
| Huyu hakuona umuhimu wa kudandia usafiri nje kidogo ya jiji la Dodoma, aliamua kunyonga baskeli na sasa kapata pancha anaziba panchari yake |
No comments:
Post a Comment