Tuesday, March 29, 2011

MATUKIO JIJINI

Hii ni Ilala kituo cha basi cha Mchikichini, maarufu kama eneo la mitumba na wamachinga kibao, jamaa wanakula siesta saaaafi.

Jiji la DSM linavyoonekana eneo la Posta Mpya, siku moja litakuwa NY Lol

Kariakoo ambapo nguvu ndo inafanya kazi. . .


No comments:

Post a Comment