Friday, March 25, 2011

SHERIA MKONONI MBELE YA KANISA


Mtuhumiwa wizi akiwa taabani baada ya kupata kipigo kikali toka kwa wananchi wenye hasira baada ya jaribio la kupora mali kushindikana eneo la Mbagala Kizuiani leo Asubuhi.


Baadhi ya wakazi wa Kizuiani Mbagala wakiuangalia maiti ya mmoja wa watuhumiwa wa wizi, aliyeuawa na wananchi wenye hasira mbele ya Kanisa la Anglikana leo alfajiri baada ya kufanya jaribio la wizi lililoshindikana.


No comments:

Post a Comment