![]() |
| Haya ndio maisha ya mjini Dar es Salaam, njemba zikisaka maji jijini |
![]() |
| Kijana muuza matunda akipumzika ndani ya tenga, maeneo ya Kijitonyama, hivi karibuni |
![]() |
| Unaweza kuwa na afya lakini pia cheki uzito wako, huyu jamaa katega biashara mtaa wa Msimbazi |
![]() |
| Jamaa wakimsaidia mwenye taxi kuisukuma katika maeneo ya Msimbazi |
![]() |
| Aahaa. . .sio hivyo bana. . . jamaa akijitetea mbele ya polisi wa barabarani hivi karibuni, hii ni mwendelezo wa kamata kamata ya bodaboda jijini |
![]() |
| Mwaume Kazi bana. . . mmasai akivuka barabara na biashara yake ya mito. hii ni maeneo ya Kamata barabara ya Pugu |
![]() |
| Pamoja na vijimanyunyu jamaa ameamua kusubiria abiria katika vituo vya shule ya Uhuru, mtaa wa Msimbazi |
![]() |
| Adha ya mvua, mfanyabiashara akiuza vitu wakati yuko kwenye dimbwi kubwa la maji |
![]() |
| Adhabu nyingine kiboko, jamaa inabidi waloe tu maana gari limefia pabaya |











No comments:
Post a Comment