![]() |
![]() |
| Mvua zinazoendelea nchini zinavyowatesa wananchi, hapa ni Mokocheni kwa Nyerere kawaida mafuriko ni lazima na nnashangaa watu hawajipangi wakijua msimu mwingine mvua zitanyesha na haya yatatokea |
![]() |
| Kituo cha daladala cha Moroko Hotel kilichopo barabara ya Kawawa ndivyo kinavyoonekana sasa, paa limeanguka inasemekana ni sababau ya upepo mkali |
![]() |
| Kama unahama kwenu huitaji magari makubwa, tena kama una mizigo michache kama mabachelor wengi siku hizi, unatumia usafiri unaitwa guta, baskeli ya miguu mitatu |
![]() |
| Dada kazidiwa na kazi, na hapa yuko very busy, can not be disturbed. pole dada |





No comments:
Post a Comment